Zingatia haya kipindi cha awali cha ufugaji wa kuku wa mayai

Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo baadaye ni kwa kuwakata midomo. Zoezi hili hufanyika pia kwa lengo la kusaidia kuzuia upotevu wa chakula kutokana namna vifaranga wanavyodonoa […]
Fahamu njia pekee ya kutatua changamoto za ufugaji wa kuku

Interchick wamefungua kituo cha huduma za mifugo ambapo uchunguzi wa kimaabara ili kutambua vyanzo vya magojwa kwa kuku hufanyika. Watu wengi inawezekana wamekuwa wakijiuliza kwamba kituo cha mifugo kilichofunguliwa na Interchick ni kwa ajili ya wafugaji wa Interchick pekee? La hasha! kituo ni kwa ajili ya wafugaji wote wa kuku, yeyote mwenye uwezo wa kufika […]
Moja ya njia ya kuwakinga kuku wa mayai dhidi ya magonjwa

Pamoja na kuwa kwamba mazingira yanayozunguka eneo la ufugaji kuwa miongoni mwa vyanzo vya magonjwa kwa kuku, chakula cha kuku pia kimetajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vikuu vya magonjwa kwa kuku wa mayai. Daktari wa mifugo kutoka Interchick Bwana Vincent Lukanima ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusiana na magonjwa ya msimu kwa kuku wa mayai na […]
Poultry Hygiene & Sanitation

As soon as the previous flock has been cropped/depleted, the house and equipment must be thoroughly cleaned and disinfected. Allow the house to remain empty for two weeks before the next flock arrives. This reduces the buildup of disease-causing organisms. After the birds have been removed from the house, remove all equipment and dampen the […]
Poultry Diseases Diagnostic Services

Interchick in collaboration with Zoetis has established a state of art poultry disease diagnostic Laboratory facility in Dar Es salaam. At the laboratory, Interchick offers wide range of poultry disease diagnoses through Elisa and microbiology analyses. Farmers are welcome to use the facility for disease surveillance to ascertain their flock’s health status and confirmation of […]
Brooding

Brooding is the provision of artificial heat to help the chicks in temperature regulation. The heat can be provided by gas or electricity. The brooder area should be ready at least 24 hours before the chicks arrive. Below is a checklist of the things that need to be done before the chicks arrive: Provide the chicks […]
Rearing & Feeding

Day-old chicks must be handled with care. A flock that gets off to a good start is easier to control. It has a higher body weight at the start of the rearing process, is more uniform in size, has a better health status and reaches genetic potential more easily. There are a number of basic […]