Zingatia haya kipindi cha awali cha ufugaji wa kuku wa mayai

Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo baadaye ni kwa kuwakata midomo.   Zoezi hili hufanyika pia kwa lengo la kusaidia kuzuia upotevu wa chakula kutokana namna vifaranga wanavyodonoa […]

Fahamu njia pekee ya kutatua changamoto za ufugaji wa kuku

Interchick wamefungua kituo cha huduma za mifugo ambapo uchunguzi wa kimaabara ili kutambua vyanzo vya magojwa kwa kuku hufanyika.  Watu wengi inawezekana wamekuwa wakijiuliza kwamba kituo cha mifugo kilichofunguliwa na Interchick ni kwa ajili ya wafugaji wa Interchick pekee? La hasha! kituo ni kwa ajili ya wafugaji wote wa kuku, yeyote mwenye uwezo wa kufika […]

Moja ya njia ya kuwakinga kuku wa mayai dhidi ya magonjwa

Pamoja na kuwa kwamba mazingira yanayozunguka eneo la ufugaji kuwa miongoni mwa vyanzo vya magonjwa kwa kuku, chakula cha kuku pia kimetajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vikuu vya magonjwa kwa kuku wa mayai.   Daktari wa mifugo kutoka Interchick Bwana Vincent Lukanima ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusiana na magonjwa ya msimu kwa kuku wa mayai na […]